photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> RAIS KIKWETE AKIWA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA AFRIKA MJINI ADDIS ABABA

RAIS KIKWETE AKIWA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA AFRIKA MJINI ADDIS ABABA

Posted on Jul 15, 2012 | No Comments

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria kikao cha Ulinzi na Usalama cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia. Kulia ni Rais Robert Mugabe wa Zimbabbwe
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini China Bwana Quan Zhezhu wakati walipokutana jijini Addis Ababa Ethiopia.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru