RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS OMAR EL BASHIR WA SUDAN JIJINI ADDIS ABABA
Posted on
Jul 15, 2012
|
No Comments
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Sudan Omar Hassan el Bashir wakati wa Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika unaoendelea jijini Addis Ababa Ethiopia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe(kulia) pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Joram Biswaro(Katikati) wakati wa kikao maalimu cha nchi za Maziwa Makuu kilichofanyika sambamba na Mkutano wa 19 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika AU jijini Addis Ababa Ethiopia(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wanchi za Afrika wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 19 wa wakuu wan chi za umoja wa Afrika(AU) jijini Addis Ababa Ethiopia leo asubuhi(picha na Freddy Maro)