RAIS KIKWETE AWASILI ADDIS ABABA ETHIOPIA KUHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA UMOJA WA AFRIKA
Posted on
Jul 13, 2012
|
No Comments
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika jana jioni.Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe.Joram Biswaro(picha na Freddy Maro)