SMZ; MARUFUKU KUTEMBEA NA VIMINI, NGUO ZENYE KUBANA HUKO ZANZIBAR
Posted on
Jul 19, 2012
|
No Comments
Serikali ya Zanzibar kupitia waziri wa Sheria na Katiba na pamoja na Waziri wa Habari na Utalii kwa pamoja wametoa amri kwa vyombo vya Ulinzi (Police, askari wa manispaa na wananchi) kuhakikisha wnatekeleza amri ya serikali kuwakamata wale wote watakao kwenda kinyume na amri hiyo ambayo inasema:
i. Siruhusa kula, kunywa, kuvuta sigara, kulewa na yale yote yaliyoharam ktk mwezi wa Ramadhan wakati wa mchana.
ii. Kuvaa vimini, nguo zenye kubana kwa wanawake, kutembea uchi au kufanya uchafu wwte uliokinyume na maadili ya wazanzibari hata kama si muislam.
iii. Kutukana, kupiga ngoma pia kosa na utachukuliwa hatua kali kama walivosisitiza mawaziri hao wa SMZ.
Amri hizi zinawahusu watu wote waliopo Zanzibar hata kama si Muislam.
Kwa msisitizo wamewaamrisha vyombo vyote vya ulinzi kuwachukulia hatua kali wataokao dharau Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kutofuata maagizo yaliyotolewa na Serikali.