photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > TASWIRA ZA RAIS WA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA (MAT), DK NAMALA MKOPI ALIVYOPANDISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU

TASWIRA ZA RAIS WA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA (MAT), DK NAMALA MKOPI ALIVYOPANDISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU

Posted on Jul 10, 2012 | No Comments

 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi wakati akiingia Mahakamani leo Jijini Dar es Salaam kujibu shutuma za uchochezi na kupuuza amri ya mahakama ya kusitisha mgomo wa madaktari unaoendelea nchini..
 
  Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akiwa na mama yake mzazi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Kuibu shutuma za uchochezi na kupuuza amri ya mahakama ya kusitisha mgomo wa madaktari unaoendelea nchini..
 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi (kulia) akiongozana na baba yake mdogo, Hilary Chinendachi mara baada ya kupata dhama katika Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo
  Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akipeana mikono na baadhi ya madaktari waliofika kujua hatma yake baada ya kufikishwa Mahakamani kwa kosa la kukaidi amri ya Mahakama ya kutaka kusitisha mgomo wa madaktari.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru