photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> WANAVIJIJI 37 WAKRISTO NIGERIA WAUWAWA.

WANAVIJIJI 37 WAKRISTO NIGERIA WAUWAWA.

Posted on Jul 8, 2012 | No Comments

Jeshi la Nigeria linasema kuwa watu 37 wameuwawa kwenye mashambulio katika vijiji vya Wakristo karibu na mji wa Jos, katikati mwa nchi.
Mashambulio kadha yameshawahi kufanywa Nigeria
Msemaji wa jeshi, Mustapha Salisu, alisema askari wa usalama walipigana vikali kwa saa kadha, na wale aliosema walikuwa washambuliaji wajuzi.
Alisema zaidi ya washambuliaji 20 waliuwawa.
Msemaji wa kikundi cha Wakristo alisema vijiji 13 vilishambuliwa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru