photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > WAZIRI WA ELIMU, SHUKURU KAWAMBWA AKABIDHI FEDHA ZA MADAWATI KUTOKA TIGO

WAZIRI WA ELIMU, SHUKURU KAWAMBWA AKABIDHI FEDHA ZA MADAWATI KUTOKA TIGO

Posted on Jul 16, 2012 | No Comments

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi 26,000,000 kwa mwakilishi wa Hassan Maajar Trust (HMT) na Andrew Hogson, Kaimu Meneja Mkuu wa tiGo akishuhudia. Fedha hizo zitatumika kununulia na kugawa madawati katika shule tano kutoka wilaya za Makete na Njombe. Shule zitakazonufaika ni Maendeleo (135), Umoja (196), Kumbila (200), Makonde (152) na Mbela (37).

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru