photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > BASI LA SABENA TABORA-MBEYA LACHINJA 16 PAPO HAPO

BASI LA SABENA TABORA-MBEYA LACHINJA 16 PAPO HAPO

Posted on Aug 8, 2012 | No Comments

Watu 16 wamefariki katika ajali ya basi la sabena kutoka tabora-mbeya.Dereva wa gari ni nassor ally,chanzo cha ajali ni hitilafu kwenye usukani.Ajali imetokea eneo la kitunda wilayani sikonge 

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru