BOKO KUFANYA MJARIBIO SOUTH AFRIKA
Posted on
Aug 8, 2012
|
No Comments
Mshambuliaji wa Azam John Boko anatarajiwa kwenda kufanya majaribio na klabu ya super sport ya Africa ya kusini. Taarifa amabazo zimethibitishwa na klabu yake ya Azam..
''Azam imepokea barua ya mwaliko wa majaribio kutoka klabu ya super sport ya Africa kusini kwa mchezaji john boko ambapo anapaswa kusafili tar 11/8/2012 kwenda johanessburg africa ya kusini, john boko atafanya majaribio kwa wiki moja na uongozi wa azam unampongeza na unamtakia mafanikio'