photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > CHADEMA MOROGORO WAKAMATWA KWA KUKAIDI AMRI YA KUTOKUFANYA MKUTANO

CHADEMA MOROGORO WAKAMATWA KWA KUKAIDI AMRI YA KUTOKUFANYA MKUTANO

Posted on Aug 5, 2012 | No Comments


Askari Polisi wa Kikosi cha Pikipiki ‘Chita’ na ambao hujulikana kwa jina jingine ‘Foda Fasta’ wameyakamata magari ya CHADEMA, yaliyokokuwa yakipita mitaani eneo la mzunguko waMasika yakitangaza juu ya kufanyika kwa maandamano na mkutano wa hadhara Agosti 4, mwaka huu katika eneo la uwanja wa Shule ya Kiwanja cha Ndege Mjini hapa ambao ulipangwa kuhudhuriwa na Viongozi wakuu wa Chama hicho.
Magari hayo yalikamatwa na Mkuu wa Kituo Cha Wilaya cha Polisi wa Usalama Barabarani kutokana na kukaidi agizo la Polisi lakusitisha Mkutano huo.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru