photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > FIRST LADY WA CAMP MULLA (KARUN) AKIONESHA UWEZO WAKE

FIRST LADY WA CAMP MULLA (KARUN) AKIONESHA UWEZO WAKE

Posted on Aug 13, 2012 | No Comments


Wakati kundi la Camp Mulla la nchini Kenya likiwa limeshajipatia umaarufu mkubwa barani Africa kwa nyimbo zake kali na video za maana, muda umefika wa members wa kundi hilo kuanza kuonesha uwezo wa kila mmoja. Miss Karun ambaye katika nyimbo nyingi za kundi hilo amekuwa akisikika kwenye chorus na bridge zaidi, ametoa video hii kuonesha uwezo wake awapo mwenyewe. Ama hakika mtoto huyu mrembo Mungu kamjaalia kila kitu. Ukiangalia video hii, ni rahisi kupata jibu kuwa hata kama akisimama mwenyewe, Miss Karun ni star we peke yake. 
Ana kipaji na muonekano wa kuvutia kuuzika kimataifa. Record label yoyote ile itakayoona video hii haitasita kumsainisha yeye kama yeye. Enjoy video hii huku ukiangalia sura nzuri ya mtoto huyu mrembo mwenye ngozi halisi ya Kiafrika. Mashalaah!

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru