photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > HUYU NDIYO MWAKILISHI WA TANZANIA FAINALI MISS EAST AFRICA BELGIUM 2012

HUYU NDIYO MWAKILISHI WA TANZANIA FAINALI MISS EAST AFRICA BELGIUM 2012

Posted on Aug 22, 2012 | No Comments

 Mwakilishi wa Tanzania kwenye fainali Miss East Africa Belgium yatakayofanyika tarehe 1 September 2012, Miss Juliana PierreMuunge mkono mwakilishi wetu huyu kwenye Fainali husika kwa kuongeza idadi ya kufahamika kwake.

Juliana anaomba uingie kwenye ukurasa wake wa (Face book) na kubonyeza kitufe cha “like” kwa anuani hii:
 https://www.facebook.com/ JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012
Tangaza Vipaji Vyetu,Tangaza Utalii Wetu, Tangaza Tanzania.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru