KWANINI WAKE ZA WATU HAWAPENDI KUTUMIA CONDOM?
Posted on
Aug 22, 2012
|
3
Comments
Hii sasa ni hatari, hivi nini kinachoendelea katika hii jamii?
Hivi ni kwanini wanawake walio kwenye ndoa wanapoamua kutoka nje ya ndoa hawapendi kutumia kinga wakati wa kufanya zinaa?
Ni kwanini hawahurumii uhai wao?
Hivi ni kwanini wanawake walio kwenye ndoa wanapoamua kutoka nje ya ndoa hawapendi kutumia kinga wakati wa kufanya zinaa?
Ni kwanini hawahurumii uhai wao?
Umejuaje?
ReplyDeleteUmejuaje?
ReplyDeleteacha kutembea na wake za watu weeeeeeee.
ReplyDelete