photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > KWANINI WANAUME WENGI WACHOVU KITANDANI?..

KWANINI WANAUME WENGI WACHOVU KITANDANI?..

Posted on Aug 12, 2012 | 4 Comments


Kuna kitu kinanishangaza sana, siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakifurika kwa wataalam wa madawa ya asili kwa ajili ya kuweza kudumisha uwezo wao wa kitandani. Inadaiwa kuwa wanaume hao wakienda raundi moja hawawezi kurudia ile ya pili na hata wenye uwezo wa kurudia huwachukuwa muda mrefu sana, kama raundi ya kwanza iliisha saa tano usiku basi ya pili inaweza kurudiwa saa 12 asubuhi.

Tatizo kubwa ni kwamba wanaume wengi huwaandaa wake zao kwa muda mchache au hawajui kabisa jinsi ya kuwaandaa wake zao kwa ajili ya tendo la ndoa, wengi wanaparamia kama vile wanavyoparamia baiskeli, pia wanaume hao hawajui kufuata hatua za kujizuia kuweza kuwahi 'kufikisha mzigo melini' na hatimaye kuwafanya wawe wa kwanza kufikisha mzigo na kushindwa kuwaridhisha wake zao.


Inadaiwa kuwa tatizo hili linatokana na wanaume wengi kuacha kula vyakula vya asili vinavyoweza kuwafanya wawe na nguvu muda wote, pia inadaiwa kuwa wanaume wengi hawafanyi mazoezi ambayo yangeweza kuwafanya wawe vizuri kitandani.


Wengi wa wanaume wanapokwenda kwa wataalam wa madawa ya asili wanakuwa hawajui tatizo lao hasa, ndio maana wapo wanaume wanaokimbilia kwenda kukuza ukubwa wa maumbile kwa kuamini kuwa majogoo yao yakiwa makubwa wanaweza kuwaridhisha wake zao, kitu ambacho ni uongo mkubwa.


Hawajui kuwa hata kama siraha zao ni ndogo wanaweza kuwafanya wake zao watosheke kwa kuwafanyia utundu na kujua jinsi ya kujizuia ili wasiwahishe mzigo bandarini kabla ya wake zao, wanashindwa kuwafanya wake zao wawahi kufikisha mzigo kabla yao.


Tatizo hili limesababisha wanaume wengi kudharauliwa na wake zao hata ndoa nyingi kuvunjika.

Comments: 4

  1. Borrowers that are willing to avail debt consolidation loan must
    understand the sort of loan they've to look at http://pxl.co/sty7 you will likely should enter the quantity of the borrowed funds you happen to be wanting to acquire approved for.

    ReplyDelete
  2. In case you dont possess idea what these sources are, you'll be able to utilize the following paydayloansonlinedurp.co.uk he can be heard each week on smart city: in the 1970s, new york leaked corporate headquarters as being a busted hose.

    ReplyDelete
  3. Basic Program Criteria - When obtaining education loans with poor
    credit it can be imperative that you satisfy all from the
    required criteria bad credit loans no guarantor my
    car rental had spoiled me, though, and i was ready on a regular basis - or not
    used to me, a minimum of.

    ReplyDelete
  4. Also, a family member or close friend may borrow the gift money to present for the borrower payday loans online same day quick
    payday loans no faxing this site not just a lender,
    this site show the very best cash loan lender reviews for small business loans chase.

    ReplyDelete