photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > KWANINI WATU WANAFUNGA NDOA!??

KWANINI WATU WANAFUNGA NDOA!??

Posted on Aug 15, 2012 | No Comments


Niko kwenye ndoa kama mwaka na nusu sasa na mwanamke ambaye tulikuwa kwenye uhusiano kwa muda wa zaidi ya miaka sita.Juzijuzi alipata ka-scholarship huko Ughaibuni ka muda wa muda mfupi.,tumepelekana airport kwa bashasha tele.
Mwanzoni mawasiliano yalikuwa mazuri japo siyo kwa nilivyotegemea..sikujali sana labda mazingira au masomo yalimbana..lakini kadri muda ulivyokwenda ndipo yalipozidi kupungua kwa kasi ya ajabu. Nilijitahidi kadri niwezavyo kuwa nawasiliana kwa njia zote naye lakini akawa kama vile namlazimisha kuwasiliana nami,nikajaribu kuongea naye majibu yake yakanifanya kwa mara ya kwanza tangu nifahamiane naye kutilia shaka mwenendo wake....Nikajipa moyo She can't do that...I was completely wrong..!

Akarudi toka masomoni,nikajihimu kwenda kumpokea japo mashaka fulani kuhusu mwenendo wake yalishaanza kutawala kichwa na moyo wangu kwahiyo sikuwa sana na furaha naye lakini pia sikuwa na ushahidi wa moja kwa moja kwamba hakuwa muaminifu kwa kipindi kile alichokuwa masomoni.Nikajikaza hivyohivyo tukasalimiana na bla bla bla kibao.


Next day akawa anataka kuwajulisha ndugu na jamaa kuwa kasharudi,akaniomba nimbadilishie line ya simu aliyokuwa akitumia huko ughaibuni na pia nimpunguzie salio, nikafanya kama alivyoniomba..Bahati mbaya au sijui nzuri sms ya kumuingizia salio ilivyoingia nikawa nimeingia inbox ili ni-edelete.Simu yake ni zile ambazo sms zote zinakuwa wazi kwa kiasi fulani hivyo u can see what has been written...I wish ningemtuma mtu amaletee credit..Those sms prove beyond reasonable doubt what I was feeling...She had an affair and to my surprise she told me that The relationship happened 'cause she wanted to...I felt like vomit up for the woman u give your life to confidently telling u that...,but that was part of the story..


Another day nikiwa natafuta notebook niandike vitu flani,nikawanimechukua Notebook yake maana ndio ilikuwa karibu sasa napekua nipate sehemu nzuri ya kuandika that's where the theme of this story lies..She was completely,madly begging for the LOVE of that man with her inbox full of his sms...I thought I was dreamin,I pinch myself to see If am awake or not BUT it was TRUE..SHE WAS CRYING & CONFESSING HER LOVE TO THAT MAN my foot..!


I feel dead inside kwakuwa sikutegemea haya mambo yatokee mapema kiasi hiki japo nilijua LABDA YANAWEZA kutokea lakini sio mapema kiasi hiki..But marriage people Expect Unexpected u neva know when it'll be knocking on ur door..!

Lakini nikajipa moyo tupo pamoja lakini najua sitakaa nimpende wala kumuamini tena jinsi nilivyokuwa nadhani akichoka anaweza kwenda..!

Now am back to that BIG question why do people get married?

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru