MAJIBU YA MBUNGE WA CCM BAADA YA KUKOSA UBUNGE WA AFRIKA
Posted on
Aug 13, 2012
|
No Comments
Mhe.Dk. Hamisi Kigwangalla
Nimepigwa kampeni chafu sana na watu wakubwa kabisa na nilijua wazi kuwa my chances were slim...na kampeni zenyewe zililenga kunichafua kuhusiana na msimamo wangu kuhusu haki na maslahi ya madaktari na sekta ya afya kwa ujumla. na pia kwenye sekta ya madini na harakati zangu za kudai haki za wananzega...nimesulubiwa kwa haya. namshukuru Mungu nimejifunza...japokuwa kwa machungu, na sasa sintotetereka tena, naijua nafasi yangu ndani ya CCM na miongoni mwa wabunge wenzangu
Nasikitika kwamba CCM imekosa watu makini wa kuelewa umuhimu na faida ya kuwa na vijana makini kama mimi na uwezo wetu wa kujenga hoja na kuweka misimamo yenye kuleta mafanikio kama ilivyojionesha, nadhani tunakoelekea si kuzuri sana ..."
"Siwezi jaribu tena! I will never try the impossible! This time I was checking out and have received the response! Sipendwi na wenzangu...I thought wamenisamehe kwa kosa la kusema ukweli na kuwa na misimamo mikali kwenye issues... "