MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI DODOMA
Posted on
Aug 6, 2012
|
No Comments

Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa Mhe Dr.Asha Rose Migiro akiteta kitu na Mbunge wa Viti Maalum ( CCM MARA) Mhe. Rosemary Kirigin kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.

Mke wa Rais, marehemu Abeid Amani Karume Mama Fatuma Karume ambae ni Mfadhiri wa Yanga kwa pamoja wakiingia Bungeni pamoja na Mwenyekiti wa Yanga ndugu yusuf Manji kupeleka kombe la Kagame Bungeni leo .

Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais , asiye na Wizara Maalum,Mhe . Prof. Mark James Mwandosya ,(CCM) akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda wakati wa Maswali na Majibu Bungeni Dodoma leo.
Wachezaji wa Yanga wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Fatuma Karume ,wabunge na Kocha wao wakiwa na Kombe lao la Kagame Bungeni mjini Dodoma leo. |
