MATUKIO MBALIMBALI YA IDDI LEO TANZANIA
Posted on
Aug 19, 2012
|
No Comments
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa kwanza kushoto) Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, (wa pili kushoto) wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na waumini katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam baada ya ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012