MKUTANO WA CUF JANGWANI JUMAPILI SEPTEMBA 9.
Posted on
Aug 24, 2012
|
No Comments

CUF – Chama Cha Wananchi, kitafanya Mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Jangwani siku ya Jumapili tarehe 09/09/2012 kuanzia saa 6 mchana hadi 12 jioni. Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.Nyote mnakaribishwa!