photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SLAA ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UVCCM – NEC.

MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SLAA ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UVCCM – NEC.

Posted on Aug 4, 2012 | No Comments

Naibu katibu mkuu wa UVCCM Zanzibar, Jamal Kasim Ally (kushoto) akimkabithi fomu za kugombea nafasi ya uongozi wa UVCCM-NEC Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa katika ofisi za CCM mkoa mjini magharibi Zanzibar, (katikati) mwenye suti nyeusi ni Bw. Abdallah Mwinyi-katibu wa vijana mkoa Kusini Unguja akishuhudia tukio hilo.
UVCCM -NEC imetangaza nafasi zinazogomewa kua ni Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti, Katibu, wajumbe wa baraza kuu na wajumbe wa halmashauri. Hata hivo mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala alipohojiwa hakuweka wazi nafasi gani anayotaka kugombea kwani alikua bado anakusanya maoni na ushauri kutoka Watanzania mbalimbali na kujipima mwenyewe ni nafasi ipi itakayo mfaa zaidi ili kuweza kuwatumukia wananchi vema.Tetesi kutoka kwa wadau wake wa karibu zinasema  mstahiki Meya anataka kugombea nafasi ya Mwenyekiti UVCCM-NEC.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru