photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MTAKAO LALA GESTI LEO, MASWALI YENU KWENYE SENSA HAYA HAPA.

MTAKAO LALA GESTI LEO, MASWALI YENU KWENYE SENSA HAYA HAPA.

Posted on Aug 26, 2012 | No Comments


MASWALI YA SENSA KWA AJILI YA WASAFIRI NA WALIOLALA HOTELI/NYUMBA ZA WAGENI 1. Jina ……………………………………………………………………………… ……………
2. Jinsi (ME/KE)…………………………………………………..
3. Una umri wa miaka mingapi? ……………………………………………………………………
4. Ni nini hali yako ya ndoa? ……………………………………………………………………………… ….
(Umeoa/Hujaoa, Umeolewa/Hujaolewa, Unaishi pamoja na mwanamke/mwanaume, umeachana,umetengana,umefiwa na mke/mume)
5. Je, unajua kusoma na kuandika katika lugha ya 1) Kiswahili, 2) Kiingereza,3) Kiswahili na Kingereza au 4)Lugha nyingine yeyote? ……………………………………(Chagua jibu moja).
6. Je, kwa kawaida unaishi mkoa/nchi gani?
Mkoa.......................... ................... Wilaya…………………………………………………………
Nchi ………………………………………………………………….
7. Je wewe ni raia wa nchi gani? ……………………………………………………………………………

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru