photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MWALIMU HUYU ALIPWE BEI GANI?..

MWALIMU HUYU ALIPWE BEI GANI?..

Posted on Aug 16, 2012 | No Comments

Kwanini walimu wanagoma! Mwalimu anagomemea mshahara wa Tsh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu ana sifa gani ?..

Asilimia kubwa ya hawa walimu ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE) wanaitwa voda faster kwa majina ya mtaani, wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao?

Tafakari... 

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru