photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > NDOA NDOANO; AINA MPYA YA UFUNGAJI WA NDOA YAANZA KUSHIKA KASI MAKANISANI

NDOA NDOANO; AINA MPYA YA UFUNGAJI WA NDOA YAANZA KUSHIKA KASI MAKANISANI

Posted on Aug 5, 2012 | No Comments

Siku hizi kuna hali ambayo nimeibuka na kushika kasi mara mwanamke anapopata mimba , kama alikua hajavalishwa pete anavalishwa pete na kinachofatia ni kutangaza ndoa, imekua ni kawaida kwa bibi harusi kufunga ndoa akiwa na mimba ya miezi sita wakati mwingine mpaka nane . nimeshuhudia harusi zaidi ya tano ambazo mabibi harusi walikua na mimba . kwa wataalamu wa maswala ya dini inaruhusiwa kwa mwanamke aliye mimba kufunga ndoa, je wachungaji wanaowafungisha ndoa hiyo huwa wanafuata maadili na imani za makanisa yao.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru