photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > NIKO SAFARINI NITAHESABIWA WAPI SENSA?..

NIKO SAFARINI NITAHESABIWA WAPI SENSA?..

Posted on Aug 26, 2012 | No Comments


WAZIRI MKUU ZIARANI KATAVI.



Makarani wa sensa watapita kila kiya na kuchukua takwimu za watu watakaokuwa wamelala hapo siku hiyo...swali langu je watu watakaokuwa mbali na nyumbani kwao hawatahesabiwa? mfano watakaokuwa safarini na wamelala kwenye nyumba za kulala wageni itakuwaje?

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru