photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > PICHA ZA MRISHO NGASSA AKIWA NA WACHEZAJI WENZAKE SIMBA

PICHA ZA MRISHO NGASSA AKIWA NA WACHEZAJI WENZAKE SIMBA

Posted on Aug 3, 2012 | No Comments

 Karibu Ngassa tufanye kazi, maisha menyewe mafupi mshikaji"Kaseja",Ngassa hakuna shaka nimekaribia swaiba. 
 Aliyekuwa mchezaji  wa Azam,Mrisho Ngassa akiwa ameegemea gari yake aliyokabidhiwa jana mara baada ya kuwasili katika ufukwe wa Coco Beach kwa kuungana na wachezaji wenzake wa Simba baada ya maridhiano ya Azam,Simba na yeye kumalizika

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru