PINDA ATOA POLE YA AJALI YA MELI ZANZIBAR
Posted on
Aug 4, 2012
|
No Comments

Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye alikwenda kwenye Ikulu ya Zanzibar, Agosti 3, 2012 kutoa pole kufuatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwenzi uliopita.


Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye Agosti 3, 2012 alikwenda Ikulu ya Zanzibar kumpa pole kufuatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwezi uliopita

Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye alikwenda Ikulu ya Zanzibar Agosti 3,2012 kutoa pole kufatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwezi uliopita.
(Picha na Ofis ya Waziri Mkuu)