photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > POLISI YATEKETEZA ZAIDI YA TANI TATU NA NUSU ZA BANGI MKOANI ARUSHA

POLISI YATEKETEZA ZAIDI YA TANI TATU NA NUSU ZA BANGI MKOANI ARUSHA

Posted on Aug 22, 2012 | No Comments

Zaidi ya tani tatu na nusu ya madawa ya kulevya aina ya bangi yameteketezwa na jeshi la polisi mkoani Arusha katika kukamilisha operesheni ya kupambana na uhalifu na madawa ya kulevya inayoendelea mkoani hapa kwa mujibu wa mrakibu wa polisi na kaimu kamanda wa jeshi hilo mkoani hapa Zuberi Mombeji alisema kuwa zoezi hilo ni endelevu na kuwataka wananchi mkoani hapa kutoa ushirikiano katika kutokomeza vitendo vya kihalifu.Baadhi ya maofisa wa polisi akiwemo msemaji wa jeshi hilo mkoani hapa Rashid Nchimbi wakiangalia zoezi hilo likiendelea kwenye sehemu wanaochomea madawa hayo   eneo la FFU  nje kidogo ya jiji la Arusha picha na (Mahmoud Ahmad Arusha)

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru