photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > SIMBA YARUDISHA KWA JAMII; WATEMBELEA WAGONJWA NA KUGAWA VYANDARUA..

SIMBA YARUDISHA KWA JAMII; WATEMBELEA WAGONJWA NA KUGAWA VYANDARUA..

Posted on Aug 8, 2012 | No Comments

 
Sisi ni watu wa kujali jamii bwana... Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (katikati) akiwa pamoja na nahodha wa timu hiyo, Juma Kaseja (kulia) na beki Juma Nyosso (kushoto) wakibeba vyandarua na zawadi nyingine kwa ajili ya kugawa kwa wagonjwa wakati walipotembelea hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam Jana.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru