photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > UCHAFU MWINGINE WA NISHATI NA MADINI

UCHAFU MWINGINE WA NISHATI NA MADINI

Posted on Aug 13, 2012 | No Comments

Naibu Waziri nishati na madini Bw. Steven Masere 

Naibu waziri nishati na madini bw. steven masere amepokea rushwa kiasi cha tsh milioni 30 ili kuwafukuza na kuwapora haki wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wa mgodi wa konkirangi uliopo kiomboi singida.

tajiri huyo anayeitwa bw.
john bena mwenye asili ya kenya ametoa rushwa nyumbani kwa waziri huyo dodoma siku ya ijumaa tarehe 10 ya mwezi huu majira ya saa 2 usiku na kumuomba akawaondoe wachimbaji hao halali ktk mgodi huo na waziri kuahidi kwenda huko siku ya tarehe 13 mwezi huu yaani jumatatu.

Pia ktk mtandao huo wa rushwa nene yupo mkuu wa wilaya hiyo bw
yahya ismail mawanda na afisa usalama wa wilaya bw. Ruta rutabeka lakini walishindwa kutokana na kuona aibu.

Kwa wanao weza kufuatilia waangalie mawasiliano kati ya wazito hao…

Source; Jamii forum 

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru