WAREMBO REDDS MISS MWANZA 2012/13 WAANZA KAMBI RASMI
Posted on
Aug 24, 2012
|
No Comments
Warembo Redds Miss Mwanza 2012/13 wameanza rasmi kambi yao katika Hoteli ya Isamilo Lodge, ambapo warembo 18 kutoka wilaya zote za Mkoa wa Mwanza, watashiriki shindano hilo, linalotarajiwa kufanyika ijumaa tarehe 31/08/2012 katika uwanja wa Mwanza Yatch Club jijini Mwanza.