photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > WAZIRI WA USALAMA WA LIBYA AJIUZULU.

WAZIRI WA USALAMA WA LIBYA AJIUZULU.

Posted on Aug 26, 2012 | No Comments

Ripoti kutoka Libya zinaeleza kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Fawzi Abdel A'al, amejiuzulu.
 
Magari yaliyoharibika kwenye bomu Triooli, tarehe 19 Agosti

Hakujatolewa sababu.
Inatokea siku moja baada ya polisi katika mji mkuu, Tripoli, kutuhumiwa kuwa hawakufanya kitu kuwazuwia Waislamu wa msimamo mkali wasibomowe msikiti na kaburi la Wasufi mchana.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru