photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > YANGA YAJINOA LOYOLA

YANGA YAJINOA LOYOLA

Posted on Aug 4, 2012 | No Comments

KOCHA wa YangaMbelgiji Tom Saintfiet, akikinoa kikosi cha timu yake katika Uwanja wa Shule ya sekondari Loyola iliyopo Mabibo jijini Dar es Salaam hii leo. Yanga inajinoa kwa michuano ya Ligi Kuu ya tabnzania bara inayotaraji kuanza baade mwezi huu. Lakini imezusha maswali kwa wadau wa soka nchi na wapenzi wa timu hiyo kwa kutokushiriki kwake michuano ya Super8 inayotaraji kuanza Agosti 5, 2012 katika viwanja mbalimbali nchini

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru