ALLY REHMTULLAH 2013 COLLECTION YATINGISHA JIJINI JANA..
Posted on
Sep 9, 2012
|
No Comments
Pichani Juu na Chini ni Models wakionyesha Vito vyenye Madini ya Tanzanite yanayochimbwa nchini Tanzania wakati wa raundi ya kwanza ya onyesho la ‘Ally Rehmtullah 2013 Collection.(The Tanzanite Experience).
Pichani Juu na Chini ni Models wa kiume wakionyesha Mavazi ya Street Souls ambao ni mmoja wa wadhamini wa ‘Ally Rehmtullah 2013 Collection’.
Msanii mkongwe wa Muziki nchini Diva Karola Kinasha akitoa burudani kwa wageni waalikwa.
Pichani Juu na Chini ni Models wakionyesha ‘Ally Rehmtullah 2013 Collection’.
Mbunifu mahiri wa mavazi nchini Ally Rehmtullah akijitambulisha baada ya Model kuonyesha Collection yake mpya ya Mwaka 2013 katika Onyesho la aina yake katika hoteli ya Serena jijini Dar.
Mboni Masimba a.k.a Kim Kardashian wa Bongo na rafiki.
Mbunifu wa mavazi anayechipukia Jokate Mwegelo a.k.a Kidoti akizungumzia show ya ’Ally Rehmtullah 2013 Collection’.
Designer Ally Rehmtullah, Super Model Fideline Iranga a.k.a Lagy Gaga na Sinta a.k.a JLO wa Bongo.
Ally Rehmtullah na marafiki.
Warembo walipendeza sana.
Swaggaz.
Ally Rehmtullah katika picha ya pamoja na Designer wenzake walioshuhudia Collection yake mpya ya Mwaka 2013.
Mrs. Faraja Nyalandu, Ally Rehmtullah, Nacy Sumari na Sinta wakishow love mbele ya Camera yetu.
Belvedere Vodka walitoa huduma za vinywaji vya aina zote kwa wageni waalikwa.
Wadau waliendelea kupiga picha za kumbukumbu na kumpa hongera Ally Rehmtullah kwa kazi nzuri aliyoifanya.
Meneja Masoko wa CFAO Motors Tharaia Ahmed (kulia) ambao ni wauzaji wa magari aina ya Mercedes waliodhamini onyesho la ‘ALLY REHMTULLAH COLLECTION 2013? akibadilishana kadi na mmoja wa wageni waalikwa kwenye hafla hiyo.
Moja kivutio kikubwa kwa wageni waalikwa kwenye “Ally Rehmtullah 2013 Collection” ni hili gari aina ya Mercedes Benz M CLASS yanayouzwa na Kampuni ya CFAO Motors ya jijini Dar es Salaam.
Designer Jokate Mwegelo a.k.a Kidoti na mdau.
‘Age ain’t nothing but a number’ We love Fashion.
Warembo waliokuwa wakikaribisha Wageni kutoka kampuni ya DULUX.
Nirvana Crew kutoka EATV Lotus na Deo. Walikuwepo kuchukua matukio, Don’t Miss the Show this Tuesday on EATV.
Evelyn na Eskado Bird.
Models walioshiriki Ally Rhemtullah 2013 Collection wakipooza koo baada kazi nzito.
Ally Rehmtullah na wadau kutoka Belvedere Vodka.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mpya wa kampuni mpya ya Alliance Motors wauzaji wa magari aina ya Volks Wagon Bw. Alfred Minja, Mdau Petwaa JK na Meneja Masoko wa CFAO Motors Tharaia Ahmed.
Maria Sarungi (katikati) akibadilishana mawazo na mbunifu nguli wa mavazi nchini Mustafa Hassanali (kulia).
Program Manager wa EATV Lydia (katikati) akishow love mbele ya Camera ya Jamii Press
Wabunifu wa mavazi Jamilla Vera Swai (kushoto) na Kemmy Kalikawe wakionekana kufurahishwa na Collection mpya ya mbunifu mwezao.
Sada Hashim Kitemo.
Do we need we to say more…..