ANGALIA VIDEO ILIYOFUNGIWA NIGERIA KWA SHUTUMA ZA KUCHOCHEA NGONO.
Posted on
Sep 5, 2012
|
No Comments
Kamisheni inayohusika na masuala ya habari nchini Nigeria (NBC) imepiga marufuku urushwaji wa video ya Wande Coal kwenye vituo vya Tv Nigeria kwa sababu picha zake hazina maadili na zinahusika kuchochea ngono.
Pamoja na kwamba NBC imenyima video hii mpya kuonyeshwa Nigeria, bado staa huyu ambae yuko chini ya Don Jazzy mwenye lebo iliyomtoa D’banj anayonafasi kwenye Vioo vikubwa vya Africa kama MTV BASE na CHANNEL O, ambapo pamoja na hilo onyo kituo cha Tv cha Sound City Nigeria kinaendelea kuipiga hiyo video.