HII NDIIYO VIDEO YA, MASWALI YA POLISI BY DNA..
Posted on
Sep 9, 2012
|
No Comments
Hivi polisi wana maswali mengi??.. Nlikuwa sijui!. Na wewe kama unamaswali mengi kama haya DNA anayozungumzia kwenye hii video basi angalia uwezekano wa kujiunga na POLISI. Kabla sijaondoka usiache kutupia comment zako kuhusu hii ngoma>>