photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > HAPA NI DAR ES SALAAM PIA ??...

HAPA NI DAR ES SALAAM PIA ??...

Posted on Sep 9, 2012 | No Comments

Inawezekana ulikuwa ukisikia dar-es-salaam, unajua kuna magorofa tu na majumba ya kifahari. Lakin sio hivyo, hapa ni mikocheni uswahilini. Swali langu ni je mipango miji iko wapi apa???...
Tafakari..

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru