HII NDIO VIDEO MPYA YA MARIA CAREY TOKA ALIPOJIFUNGUA..
Posted on
Sep 6, 2012
|
No Comments
Hivi uliwahi kujiuliza au kufikiria kama leo ungekuja kumsikia Maria Carey kwenye single moja na mtu kama Meek Mill au Rick Ross? basi ndio wameungana sasa kwenye this new single ya Maria ambae wengi walimzoea kwenye muziki wake wa kitambo wa kubembeleza.. amekubali kubadilika na kwendana na muziki uliopo madarakani sasa hivi… chek hiyo video yake mpya hapo chini..