photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > HII NDIYO NYUMBA ILIYOGARIMU TSHS. 8 BILLIONS YA MAKAMU WA RAIS KENYA

HII NDIYO NYUMBA ILIYOGARIMU TSHS. 8 BILLIONS YA MAKAMU WA RAIS KENYA

Posted on Sep 10, 2012 | No Comments

kenyan Post wametoa hizi picha za nyumba iliyojengwa na serikali kwa ajili ya kuishi Makamu wa Rais wa Kenya ambae kwa sasa ni Kalonzo Musyoka, ni nyumba iliyogharimu milioni 400 za Kenya mpaka kukamilika na ipo kwenye eneo la heka kumi huko Karen.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru