photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MH. JANUARY MAKAMBA JE UNA HABARI AU UNAJUA ILA UNAMASLAHI ??..

MH. JANUARY MAKAMBA JE UNA HABARI AU UNAJUA ILA UNAMASLAHI ??..

Posted on Sep 10, 2012 | 1 Comment


Mh, J.Makamba naomba uelewe kuwa kampuni ya simu ya Vodacom inahamisha kitengo cha mawasiliano nchini INDIA!!
Kitengo cha uratibu wa mawasiliano cha voda kinahamishiwa INDIA kinyemera ni kitengo kijulikanacho NETWORK OPERATION CENTRE(NOC) Wao watakuwa wanaoperate kutoka INDIA kwakutoa maelekezo kitengo cha ufundi!
Na kuwaelekeza mafundi ni minara gani inahitajika kuwekewa mafuta,kufanyiwa service!!
Nakusababisha idara hiyo kufutwa!!
Na ajira za watanzania zaidi ya 30 kupoteza ajira!na waindi kupata hizo ajira kutoka huko INDIA! 
Je usalama wa Taifa uko katika mahali kwake? 
Je TCRA Wapo wapi au Mkurugenzi ana agenda ya siri? 
Je Waziri mwenye dhamana yuko wapi?Je inawezekanaje control department iwe INDIA? 
Mh, J.Makamba tunaomba ufatilie kwakuwa wewe ni kijana mwenzetu!

Comments:1

  1. Hapa ndipo tunapozungumzia maslahi ya Taifa. Nadhani Makamba January umesikia na uchukue hatua. Na ni changamoto kwa Vyombo vyetu vya Usalama...habari za kiintelijensia hapa zingehitajika sana kuzuia hujuma kubwa kama hii.

    Taifa Letu Kwanza.

    ReplyDelete