PINDA AHUDHURIA MAZISHI YA KUTENI KANALI MSTAAFU MAKWAIYA
Posted on
Sep 6, 2012
|
No Comments
Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Katibu wa Chama cha Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA) marehemu Luteni Kanali Mstaafu, Adam Hussein Makwaiya katika mazishi yaliyofanyika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Agosti 6, 2012 na serikali iliwakilishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waombolezaji wakiuweka kaburini mwili wa aliyekuwa Katibu wa Chama cha Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA),Luteni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, `Adam Hussein Makwaiya katika mazishsi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijiniDar es salaam Agust 6, 2012 na serikali iliwakilishwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa udongo kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu wa Chama cha Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA), Luteni Kanali Mstaafu, Adam Hussein Makwaiya katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Agust 6, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).