photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA NCHI ZA UKANDA WA MAZIWA MAKUU, KAMPALA, UGANDA

RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA NCHI ZA UKANDA WA MAZIWA MAKUU, KAMPALA, UGANDA

Posted on Sep 9, 2012 | No Comments

 
Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi makubaliano yaliyofikiwa na  Wakuu wenzake wa  Nchi na Serikali  za Ukanda wa Maziwa Makuu baada ya mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort Munyonyo mjini Kampala, Uganda, .
Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia waraka wenye makubaliano kabla ya yeye  na Wakuu wenzake wa  Nchi na Serikali  za Ukanda wa Maziwa Makuu kuuweka sahihi baada ya mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort Munyonyo mjini Kampala, Uganda.
 PICHA NA IKULU

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru