photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > BEI YA UMEME KUPANDA KWA ASILIMIA 50 KUANZIA JANUARY 2013

BEI YA UMEME KUPANDA KWA ASILIMIA 50 KUANZIA JANUARY 2013

Posted on Oct 28, 2012 | No Comments


Taarifa kutoka vyanzo vyangu vya kuaminika bei ya Umeme itaongezeka kwa asilimia 50 kuanzia mwezi wa kwanza.

Sababu inayotajwa ni gharama kubwa ya kuendesha shirika, kwa kiasi kikubwa bei hii huchangiwa na umeme ambao TANESCO inabidi inunue kutoka makampuni mengine.

My Take
Ingekua bora kama TANESCO wangejikita katika upunguza gharama zao za uendeshaji kwa kuzalisha wenyewe umeme wa bei nafuu kuliko kukimbilia tu kutupa mzigo kwa walaji 

Tafakari..

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru