photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > HUYU NDIYO MWANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE ALIYEFANYA MTIHANI WA TAIFA WODINI

HUYU NDIYO MWANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE ALIYEFANYA MTIHANI WA TAIFA WODINI

Posted on Oct 11, 2012 | No Comments

Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Alfa Morogoro, Jesca Kiliani (17) akifanya mtihani wa taifa wa kidato hicho akiwa wadi namba 7B  katika hospitali ya rufaa ya mkoa huo jana, baada ya kulazwa kufuatia kufanyiwa operesheni ya uvimbe ambapo hivi sasa anaendelea na matibabu hospitalini hapo.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru