photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > JERRY SILAA AVUNJA REKODI KWA KUPATA KURA NYINGI NAFASI YA UJUMBE UVCCM.

JERRY SILAA AVUNJA REKODI KWA KUPATA KURA NYINGI NAFASI YA UJUMBE UVCCM.

Posted on Oct 25, 2012 | No Comments

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa (pichani) ameibuka Kidedea na kuvunja rekodi ya Mwaka  baada ya kutetea nafasi yake ya Ujumbe UVCCM kwa kupata kura 501 ambazo ni nyingi kuliko  hata Mwenyekiti katika chaguzi zilizofanyika mjini Dodoma. Na Mdau Dodoma.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru