photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MKUKI KWA NGURUWE (DR ULIMBOKA) KWA BINADAMU (RPC BARLOW)

MKUKI KWA NGURUWE (DR ULIMBOKA) KWA BINADAMU (RPC BARLOW)

Posted on Oct 28, 2012 | No Comments


Nimesoma na kusikiliza maelezo Ya MANUMBA. kuwa polisi wamefanikiwa kuwapata wahalifu kwa kutumia mawasiliano ya simu. Inavyoonesha Muuaji..alitoweka na simu ya Mwl. kisha alitoa laini ya simu ya mwl. Doroth na kumpatia simu hiyo mwanamke mwingine...pasipo jua, kila simu huwa na serial number ambayo inakuwa unique.

Ndipo polisi walipofuatilia mawasiliana ya simu ya Mwl. hadi waliponasa mwanamke huyo na kumtaja aliyempa simu hiyo...na hatimaye wahalifu wakatiwa nguvuni.

Swali kwa nini ushahidi wa gazeti la Mwana halisi wa simu......ulipelekea gazeti kufungiwa? .....

Tafakari..

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru