photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > BILIONEA ATUPWA JELA KWA KUIDHARAU MAHAKAMA.

BILIONEA ATUPWA JELA KWA KUIDHARAU MAHAKAMA.

Posted on Nov 4, 2012 | No Comments

Mahakama nchini Ireland, imemhukumu kwenda jela wiki tisa, mtu aliyewahi kuwa  tajiri mkubwa nchini humo, Sean Quinn, kwa kosa la kuidharau mahakama.
Bilionea huyo wa zamani aliyefilisika, alifungwa na Mahakama Kuu yaDublin kwa kuweka dhamana zilizo nje ya uwezo wa benki iliyoporomoka ya Irish Anglo Bank.
Mwezi Juni, Quinn, mwenye umri wa miaka 66, alitiwa hatiani kwa kuidharau mahakama hiyo, laikiwa kesi hiyo iliahirishwa kumruhusu kupitia uhamishwaji wamalizilizokuwa zikimilikiwa na kampuni zake za Quinn Group.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru