photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > JINSI RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOITEKA ARUSHA.

JINSI RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOITEKA ARUSHA.

Posted on Nov 1, 2012 | No Comments

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa \Wilaya ya Arusha Mhe John Mongella kuzindua ujenzi wa barabara za jiji la Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa barabara za jiji la Arusha.(PICHA NA IKULU).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa barabara za jiji la Arusha.(PICHA NA IKULU).

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru