photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MAELEZO JUU YA AFYA YA MBUNGE WA MOSHI MJINI (CHADEMA) MZEE PHILEMON NDESAMBURO

MAELEZO JUU YA AFYA YA MBUNGE WA MOSHI MJINI (CHADEMA) MZEE PHILEMON NDESAMBURO

Posted on Nov 13, 2012 | No Comments

Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini (Chadema),Philemon Ndesamburo  

''UTATA umegubika afya ya Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo huku taarifa zikidai kuwa anaumwa na anapatiwa matibabu nchini Uingereza.''
 UTATA umegubika afya ya Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo huku taarifa zikidai kuwa anaumwa na anapatiwa matibabu nchini Uingereza.

Wakati hali ikiwa hivyo kwa Ndesamburo, Waziri wa zamani wa Elimu, Jackson Makwetta inaelezwa kuwa hali yake ni mbaya.

Ndugu wa karibu wa mbunge huyo wa zamani wa Njombe Kaskazini aliyekataa kutaja jina, alisema Makweta alianza kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu  jambo lililosababisha kulazwa katika Hospitali ya Consolata Ikonda iliyopo Wilaya ya Makete Mkoa wa Iringa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru