PICHA ZA DIAMOND KUHUSU SHOW ALIYOFANYA ARUSHA.
Posted on
Nov 2, 2012
|
No Comments
Hii Jeep ndio gari niliyokuwa nikiitumia nilipowasili Arusha…. |
Moja ya wasanii wa Hip Hop kutoka A-town wakifanya yao…. |
Jcb & Nakaaya walifanya show ya pamoja na ilikuwa kali sanaaaa…. |
Asili uwa haipotei wala kusahaulika…. |
Wasafi… |
Mpango mzima ulianzia hapa….. |
Burudani haina mipaka… ikikolea mpaka kwa mshabiki huwa najitahidi nifike……… |
Hatuishii juu ya stage…… popote kwetu ni burudani…. |