photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > SAFARI ZA RAIS JAKAYA KIKWETE ????...

SAFARI ZA RAIS JAKAYA KIKWETE ????...

Posted on Nov 14, 2012 | No Comments


Ikiwa Rais Obama amekaa madarakani miaka 4 na kufanya jumla ya safari 32 na kutakiwa kutaja faida ya kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena.

 Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na kufanya jumla ya safari 68 tu.

 Ndg. JK Amekuwa madarakani kwa muda miaka 7 na kufanya jumla ya safar 322.

Je nini kifanyike kudhibiti mfumuko wa safari kwa Rais wetu? 

Je, Lini atatoa maelezo ya faida za safari hizo?.

Tafakari...

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru